Home > Terms > Swahili (SW) > Katiba ya Marekani

Katiba ya Marekani

Sheria msingi ya serikali ya mfumo wa majimbo ya Marekani. Katiba inafasiri vitengo muhimu vya serikali,mipaka ya kazi yao na haki za kimsingi za raia.

Inachukuliwa kama sheria ya juu zaidi katika nchi,kumaanisha sheria zote za majimbo,matendo ya serikali na maamuzi ya kisheria sharti yawiane nayo.

0
Lägg till i min ordlista

Vad vill du säga?

Du måste logga in för att kunna göra inlägg i diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlistor

  • 1

    Followers

Bransch/domän: Festivals Category: Halloween

Halloween

Inajulikana pia kama All Hallow's Eve, Halloween ni likizo ya mwaka inayosherehekewa tarehe 31 Oktoba katika Marekani, Canada, na Uingereza. Ni eti ...