Home > Terms > Swahili (SW) > Sikukuu ya kutoa shukrani

Sikukuu ya kutoa shukrani

Sikukuu ya kutoa shukrani ni kauli maarufu inayotumiwa na watu kuadhimisha likizo ya Sikukuu ya Shukrani. Shukrani ni sherehe hasa katika United States siku ya Alhamisi ya nne ya Novemba kila mwaka. Wanafamilia mara nyingi hutumia nafasi hii kukutana na kushiriki kwa karamu kubwa iliyotayarisha na mkuu wa kaya. Sikukuu hii karibu kila mara husherehekewa batamzinga choma. Asili halisi ya likizo hii haijulikani, lakini kwa ujumla inakisiwa kuhusiana na maadhimisho ya mavuno siku za jadi iliyoletwa na walowezi katika Amerika ya Kaskazini kutoka Ulaya.

0
Lägg till i min ordlista

Vad vill du säga?

Du måste logga in för att kunna göra inlägg i diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlistor

  • 3

    Followers

Bransch/domän: Communication Category: Written communication

Barua

Barua ni ujumbe ulioandikwa kwa karatasi. Siku hizi si rahisi kupata watu wakitumia njia hii kuwakilisha ujumbe.labda wakati muhimu ama penye ...

Featured blossaries

25 Apps That Will Save You Lots of Money

Kategori: Technology   1 25 Terms

Amazing Clouds

Kategori: Arts   2 6 Terms

Browers Terms By Category