Home > Terms > Swahili (SW) > Kikombe cha Pythagorean

Kikombe cha Pythagorean

Kikombe cha Pythagorean (pia inajulikana kama kikombe cha tamaa au kikombe Tantalus) ni aina ya kikombe cha kunywa ambacho hulazimisha mtumiaji wake kulewa tu kwa wastani. Sifa kwa Pythagoras ya Samos, inaruhusu mtumiaji kujaza kikombe kwa mvinyo hadi kiwango fulani. Kama mtumiaji amejaza kikombe tu hadi kiwango cha kupata kufurahia kinywaji chake kwa amani. Kama yeye ataonyesha ulafi, kikombe itamwaga yaliyomo ndani kwa mnywaji.

0
Lägg till i min ordlista

Vad vill du säga?

Du måste logga in för att kunna göra inlägg i diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

Jonah Ondieki
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlistor

  • 1

    Followers

Bransch/domän: Education Category: Teaching

zao la kusoma

Ni tokeo la mchakato wa kusoma; yaaani kile mtu/mwanafuzi amesoma.