Home > Terms > Swahili (SW) > kutoka

kutoka

Mungu kuingilia kati kuokoa katika historia ambapo yeye aliwaweka huru Wahebrania kutoka utumwa katika Misri, akafanya agano nao, na kuwaingiza katika nchi ya ahadi. Kitabu cha Kutoka, cha pili katika Agano la Kale, kinasimulia historia hii ya kuokoa (62). Kutoka huadhimishwa na Wayahudi wakati wa Pasaka, ambayo kwa Wakristo ni kielelezo cha "Pasaka" kwake Yesu Kristo katika kifo na maisha na ni sherehe katika kumbukumbu la Ekaristi (1363).

0
Lägg till i min ordlista

Vad vill du säga?

Du måste logga in för att kunna göra inlägg i diskussioner.

Terms in the News

Featured Terms

ongaka yusuf walela
  • 0

    Terms

  • 1

    Ordlistor

  • 0

    Followers

Bransch/domän: Language Category: Grammar

usemi halisi

katika usemi halisi, kiina cha kitenzi ndio huwa kinatenda mfano; "aliwatembelea marafiki zake huko chicago"