Home > Terms > Swahili (SW) > tamasha ya chemli
tamasha ya chemli
Tamasha ya Chemli au Tamasha ya Yuan Xiao ni sikukuu inayosherehekewa siku ya kumi na tano ya mwezi wa kwanza katika mwaka wa mzunguko wa jua katika kalenda ya Kichina, siku ya mwisho wa mzunguko wa jua katika sherehe za Mwaka Mpya. Ni itofautishwe na tamasha ya Mid-Autumn, ambayo wakati mwingine pia hujulikana kama 'tamasha chemli' kwa maeneo kama vile Singapore na Malaysia. Wakati wa tamasha chemli, watoto huenda nje wakati wa usiku kwa mahekalu wakibeba taa ya karatasi na kutatua vitendawili iliyoandikwa kwa hiyo karatasi ya taa.. Inafunga rasmi sherehe za Mwaka Mpya ya kichina.
0
0
Förbättra
Andra språk:
Vad vill du säga?
Terms in the News
Featured Terms
Bidragsgivare
Featured blossaries
Browers Terms By Category
- Industrial automation(1051)
Automation(1051) Terms
- Industrial lubricants(657)
- Cranes(413)
- Laser equipment(243)
- Conveyors(185)
- Lathe(62)
- Welding equipment(52)
Industrial machinery(1734) Terms
- Railroad(457)
- Train parts(12)
- Trains(2)
Railways(471) Terms
- Festivals(20)
- Religious holidays(17)
- National holidays(9)
- Observances(6)
- Unofficial holidays(6)
- International holidays(5)